3 Bedrooms House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
#Full Furniture House Inapangishwa, SINZA KIJIWENI
📍 Kodi ni 800,000/= ×3 (lipia miezi 3 baada ya hapo utaanza lipa mmojammoja)
______
___________
#Nyumba yenyevitu Ndani Kama Unavyoona
• Vyumba 3 vya Kulala (Vyote Master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Maji ndani
* Fensi
* Mazingira Tulivu
______
#Malipo ya Dalali ni 800,000/=
#Kupelekwa Kuona 20,000/=
№:- 0753172516