3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Stand alone, nyumba ya peke ake ndani ya fence inapangishwa sh 400000 kwa mwezi, location tabata kinyerezi zabika dar es salaam Tanzania
Sifa ya nyumba
✅Sebule kubwa
✅ dining & jiko
✅ vyumba 3 chumba kimojawapo master
✅ store
✅ fence
✅ umeme na maji unajitegemea
✅hii nyumba ni ya peke ake ndani ya fence inajitegemea
✅ parking & reserve water tank
Note:
✅ Service survey change tsh 20000
✅1 month to agent
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi, istagram, Facebook & tik tok