3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni.
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.