3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Stendi.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko (anaweka makabati)
- Store
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.