3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Stendi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Dinning
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Inafaa kwa makazi au ofisi.
Kodi 600,000/= MIEZI 6.
Muhitaji piga š 0688 412 890.