3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY IPO KWENYE MAREKEBISHO INA PANGISHWA
LOCATION: UBUNGO KIBO
UMBALI WA DAKIKA 3 KWA MGUU TOKA MOROGORO ROAD
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA DINNING
PUBLIC TOILET YA NDANI NA BAFU LAKE
JIKO KUBWA SANA LA PEMBENI
KODI 350,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
MAJI YANA FLOW NDANI
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA WAVU YENYE HEWA SAFI
UKILIPIA NYUMBA HII INAPIGWA RANGI YOOTE NA UNA KABIDHIWA IKIWA MPYAA KABISA
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940