3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Boda 1000 Mpaka Getini Bajaji 500 Ukishuka Dakika 3 upo Home
Kodi 500,000/=ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Tank Lita 2000 juu Rizevu
Parking space fancy Kubwa
Barabara ni nzuri mpaka home
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.