3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI NYUMBA NZURI MPYA INAPANGISHWA 350k
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
KODI NI 350X6
INAJITEGEMEA YENYEWE HAPA ILIPO ILA AINA UZIO
SIFA ZAKE
==========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670