3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA UBUNGO MAKOKA KM2 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO LIVERSIDE
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=.
Kodi 400,000X6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐