3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa!
Location
Ubungo External Barabarani
Bei
Note***
tsh. 2000000 kwa mwezi. Ilipwe kuanzia miezi 6 .
Kama Utafanya Office Milion 2 Kama ya kuishi ni 1.5 Milion Kwa Mwezi
Sifa
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master) Bedroom
Sitting Room
Dining Room
Kitchen with Cabinet
Public Toilet ndani
Public Toilet pia nje
Jiko la nje
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yako
Full A/C Chumba Cha Master Bedroom
Hita Maji Moto na Baridi
Parking space
Pavn Block
Electricity fancy
Note** Nyumba Ipo Barabarani Kabisa
Wasiliana nasi;
0716834095, 0684217177