3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING YA CHAKULA KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET NDANI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#RESERVE TANK JUU
#FULL TILLES
#GYPSUM
#SHATA WINDOWS
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE
Kodi 500,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
NOTE : KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 20 MPAKA UPATE NYUMBA
NB Itakua wazi Tarehe 1 Mwezi huu wa 10
Service Charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.