3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake Tank Lita 2000 juu
Parking space fancy
Dirisha shata
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565