3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE UBUNGO MAKOKA KM2 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ