3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NEW STAND ALONE FOR RENT AT UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
LOCATION UBUNGO EXTERNAL👉 MAJI CHUMVI KILOMETA 2 KUTOKA MAIN ROD
UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DAKIKA 5 KUTEMBEA KWA MIGUU
KODI NI TZS 700,000/=x6
SIFA ZAKE
VYUMBA VITATU KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET STORE KUBWA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FULL AIC NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS 🚫
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI YA FENCE YA PEKEE YAKE UKIWEMO UMEME NA MAJI
#UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA PIA
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE PIA KUNA RESERVE TANK
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000/=
0652472014
0754344786