3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







STAND ALONE NZURI INAPANGISHWA BEI 300,000X4 TUCHANGAMKE
LOCATION 📍 UBUNGO EXTENAL MAKOKA KWA MKUA KM 2.5 USAFIRI BAJAJI 700 DALADALA 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NYUMBA HAINA FENSI 🚫 USALAMA KAMA UPO IKULU
UKALI HUU HAPA NAFAULISHA HAPA, NJOO KWA BUSARA UKILETA MJUAJI UTAUMBUKA
Call
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI