3 Bedrooms House for Rent at Usa River, Arusha


NYUMBA YA BEDROOM 3 INA PANGISHWA JIJIN ARUSHA USA RIVER
Ina bedroom 3 yenye kabati
Ina master room
Ina sitting room
Ina dinning room
Ina kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ins heater system
Ina parking space kubwa
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Meter: 500 toka barabaran stand usa
Stand alone
Bei laki 500,000 ilipwe kwa miezi 3
Location Arusha USA RIVER
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400