3 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA β TEGETA WAZO | TSH 1,500,000
Nyumba nzuri ya kujitegemea inapangishwa, ipo eneo tulivu na salama Tegeta Wazo.
π Muundo wa Nyumba:
π Vyumba 3 (1 Master)
π Sebule
π½ Dining
π³ Jiko
π½ Public toilet
π§Ί Stoo
π§ Maji ya uhakika
β‘ Umeme upo
π Parking inatosha
π° Kodi: Milioni 1,500,000 kwa mwezi
π Wasiliana: #0689138795whatsapp
#0758998074π
πΆββοΈ Gharama ya kwenda kuona: TSh 30,000
#NyumbaInapangishwa #TegetaWazo #StandAloneHouse #DalaliWaKuaminika #realestatetz