3 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam



Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Wazo Mashamba ya Jeshi.
Ina Vyumba vitatu kimoja Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki (500,000)
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744
0784234971