3 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa inajitegemea, Ina vyumba vitatu vya Kulala, viwili master, dining, sitting, kitchen. Na Ina baikota chumba kimoja. Kuna system camera Air condition Umeme wa Tanesco na Solar Maji ya dawasa Garden Ipo Tegeta Wazo Msigani Bei Laki Sita mwezi Malipo miezi 600.000 Gharama za kuona 20000 Karibuni Sana 0718 809 744