3 Bedrooms House for sale at Bagamoyo, Mbeya


NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 3, BOKO MSIKITINI.
Hii ni nyumba nzuri ambayo ipo upande wa kulia ukiwa unaelekea Bagamoyo.
Kiwanja chake kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni HATI (Title Deed ya Wizara.
Vyumba vya kulala vitatu (3) Sebule,Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile ina Servant's Quarter yenye chumba na Sebule.
Ndani ya Fensi yenye nafasi.
Maji safi ya Dawasco yapo na Parking yakutosha.
MUNGU AKUPE NINI SASA?
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.