3 Bedrooms House for sale at Bara, Songwe







Nyumba inauzwa bei ml 35
Ina sifa zifuatazo
Vyumba vitatu kimoja master
Ina jiko public toilet sebule Dining
Ina Baraza mbele na nyuma
Ina eneo kubwa sana
Ina frem mbili za biashara pia ina chumba mastser cha nje chaku pangishwa
Nyumba imezingushiwa fance na ina geti
Nyumba Iko karibu na bara barani
Maji na umeme ni uhakika
Parking space yakutosha bara bara mpaka ndani
Location majohe Jimbo la ukonga wilaya ya ilala mkowa wa dsm call 0614130017
Service churge 50k



















