3 Bedrooms House for sale at Boma, Iringa
NYUMBA BANDA INAUZWA FUONI KWA MZEE GENI/FUONI MAMBO SASA
#unguja #zanzibar
Umbali Kutoka Nyumba/Banda ilipo mpaka barabarani Mita 450
Maji, Umeme ✅
PEMBENI YA NYUMBA/BANDA KUNA BOMA AMBALO LIPO SEHEMU YA NYUMBA/BANDA INAYOUZWA
BOMA
Vyumba 2 (Hakuna Master)
Public Toilet
Jiko
NYUMBA/BANDA
Vyumba 3 hakuna master, vyumba vyake sio vikubwa
Ukumbi mdogo
Jiko la uwani
Ukubwa wa Kiwanja Ft 51x38
Gari inafika mpaka mlangoni 😊
Bei Tsh 30,000,000/= Milioni thelathini (Maongezi Yapo)
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote