3 Bedrooms House for sale at Boma, Morogoro







NYUMBA HII INATUPWA KWA BEI NAFUU SANA.
SIFA HIZI :-
📍UWANJA MITA 35X25
📍NYUMBA NDONGO INA VYUMBA VITATU KULALA SEBULE MOJA. NA JIKO PEMBEN
📍Ilo boma hapo Lina VYUMBA VITATU na SEBULE KIMOJA Cha nje.
📍Choo za nje pembeni zipo
NYUMBA IPO KATA YA MAJENGO MTAA KILIMAHEWA
JIRANI NA SHULE YA MSINGI KWAUCHUNGU.
📍 NB BEI YAKE IMEPUNGUA IDUMU NDANI YA SIKU 4 TANGU LEO TAREHE 21/03/2025 HADI 25/03/2025
📍 BEI 10,000,000/=📍
ZINGATIA NI SIKU 4 BAADA YA HAPO ITARUDI KUUZWA BEI ZA AWALI.
📞0753930696
📞0623775454
by Kipuge Dalali Makambako
Picha zingine njoo Whatsapp