3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
Location : BUNJU B - MASAITI
KIWANJA : Kina ukubwa wa SQM 1400.
Kimepimwa na kina Hati kamili ya Wizara.
Huduma za Kijamii zote zipo karibu.
Ndani ya Kiwanja Kuna Pagala la kisasa la:
- Bedrooms 3
- Self-contained one
- Sitting room
- Kitchen
- Public Bathroom
- Store
Bei: Million 70, Maongezi yapo.
SERVICE CHARGE TSH 20,000
Call/WhatsApp: 0687800788