3 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Inauzwa
Mahali: Bunju A Usalama
Bei: Milioni 250 (Maongezi)
Mita 500 Kutoka Lami, Barabara Ni Rafiki
☑️Sqm855
☑️Vyumba 3, Vyote Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo. Store & Laundry
☑️Hati Miliki Ya Wizara
☑️Ina Fremu Kwa Nje, Mabanda Ya Kufugia & Eneo La Kulima Mbogamboga
☑️Maji Dawasa & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz