3 Bedrooms House for sale at Buswelu, Mwanza


Nyumba hii inauzwa Iko Buswelu Mwanza Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom jiko dining pabric toilet na stoo kiwanja kina hatua 30 kwa 20 Bei ml 75 Nyumba imetazama Lami km unavyoona tupigie 0686887297/0767346478