3 Bedrooms House for sale at Chamwino, Dodoma



NYUMBA MBILI ZINAUZWA CHAMWINO IKULU MTAA WA MNADANI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,059 sq.m
Muundo;
01; ina vyumba vitatu
Master bedroom zote
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
02; Ina vyumba vitatu
Master bedroom moja
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Zipo ndani ya fensi
Zina HATI
BEI ni Tshs. 80,000,000/= ( milioni themanini tu) ZOTE MBILI
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"