3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MJINI WILAYA ILALA DAR ES SALAAM
BEI MILIONI 65
NYUMBA INA ROOM 3 MASTER MOJA INA STINING ROOM DINING ROOM JIKO CHOO NDANI
PI KUNA NYUMBA NDOGO YA ROOM 2
PIA KUNA FREMU MBILI ZA BIASHARA NJEE
ENEO SQM 700
0719514377