3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
PAGALE LINAUZWA
#BEI: MILLION 8.5M
#LIPO: CHANIKA KWA CHIKIRA
✅ BOMA LINA SEBULE, VYUMBA VITATU VYA KULALA MASTA MOJA, JIKO NA CHOO YA PUBLIC
✅BOMA LIMEJENGWA KWA USTADI SANA NI KUPAUA NA KUEZEKA TUU
✅ BOMA LINA SHIMO LA CHOO TAYARI
✅ MAJI NA UMEME VIPO
✅ ENEO LIMEMALIZIKA
✅ NI DK 2 KUTOKA KITUONI/LAMI
MWENYEWE ANA SHIDA SANA LINAUZWA NA WAHUSIKA MME NA MKE
KUPELEKWA NI 20K
☎️0788077337 ☎️0625637254