3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam







NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.25 MILIONI, KIGEZI KWA SWAI, CHANIKA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta q) pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room?
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Frem za Maduka 2.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.