3 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA CHANIKA NGUVU BEI MILIONI 45
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER FENSI IPO
INASTING ROOM HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA UKUBWA WA ENEO SQM 400
INACCTV CAMERA
INA ELECTRIC FENS
NYUMBA KALI SANA
HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA
KUTOKA KWENYE LAMI DK 2
SERVICE CHAJI 20
WOTE MNAKARIBISHWA
KISIMA KIREFU KIPO CHA MAJI
Nipigie 0734277368