3 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam






*Nyumba inauzwa📍Ipo Goba -KINGS
*Distance..700 meter
Goba -KINGS
-Nyumba ina vyumba Vitatu vya kulala, vyumba Viwili master bedrooms, sitting room,, kitchen, store, Public toilet
**NYUMBA NI MPYA KABISAA**
-Plot size Sqmt 500
*Document* MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
✨*Bei shilingi milioni 100 maongezi yapo
Service Charge 50,000/=
Piga simu
0679 997610