3 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI INAUZWA ipo goba tegata (A)
BEI milioni👉🏻85
maongezi kidogo yapo
Ipo goba tegata. (A)
Vyumba Vitatu vya Kulala kimoja self
Sitting room
Jiko. Zuri
Public toilet
Hati ya mauziano ya selikali za mitaa
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
Ukubwa waeneo sqmt 700
Maji safi umeme vyote vipo kwenye nyumba
Gharama za Kupelekwa site elf 30
Tupigie. Dalali nimefika site
BEI MILIONI 👉🏻 85 maongezi yapo
#0710614924
#0688653940