3 Bedrooms House for sale at Gongo La Mboto, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3 ) INAUZWA NA BANK, TSHS.39 MILIONI,ULONGONI-B, GONGO LA MBOTO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta 1) pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.