3 Bedrooms House for sale at Iyumbu, Dodoma


NYUMBA BORA NA NZURI IPO MITA 300 KUTOKA LAMI INAUZWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu
Eneo ukubwa; 715 sq.m
Sifa; Ina HATI
Ina vyumba vitatu
Master bedroom zote
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Ina WATER RESERVE TANK
PARKING SPACE KUBWA
Ipo sehemu nzuri
Bei; 145,000,000/= ( milioni mia moja na arobaini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow:
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"