3 Bedrooms House for sale at Kariakoo, Dar Es Salaam


NZURI MPYA, VYUMBA 3, TSHS.35 MILIONI, 
MBANDE-KISEWE.
Hii ni nyumba ya KUHAMIA. 
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 
Vyumbax3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, 
Store na Choo cha Familia ndani. 
Ipo jirani na Barabara ya Lami/Kituo cha Gari za Kariakoo.
Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo, Umeme na Maji vipo.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255 714 591 548
_______________mpg



















