3 Bedrooms House for sale at Kerege, Pwani
NYUMBA YAKUMALIZIA UJENZI,TSHS.32 MILIONI, KEREGE,BAGAMOYO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ya vyumba 3 (Mas 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Ipo umbali wa mita 500 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Imebaki Finishing ndogondogo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.