3 Bedrooms House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA YA KISASA, SASA IMESHUSHWA BEI, KIBADA-KIGAMBONI.
HII NYUMBA ILIKUWA INAUZWA TSHS.180 MILIONI,
SASA INATAKIWA TSHS.160 MILIONI.
WAHI UIPATIE FAMILIA YAKO ZAWADI YAKUDUMU KATIKA MWAKA MPYA HUU.
Ni nyumba nzuri ya kisasa ya KUHAMIA.
Ipo Mita chache kutoka Barabara ya Lami.
Wastani wa mita 400.
Eneo ni KIBADA-KIGAMBONI.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna nyumba ndogo pembeni yenye vyumba 2
na Choo cha NJE kwaajili ya Wageni wasiolazimika kuingia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Parking ipo kubwa na SASA ina Paving Blocks.
Ndg. Kuona ni kuamini, wahi uone kitu kizuri ambacho utakipata kwa Bei-Rafiki.
Kiwanja SQM.700.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mmwnd
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.