3 Bedrooms House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA, SASA IMESHUSHWA BEI,
KIBADA- KIGAMBONI
Hik nu nyumba mpya YAKUHAMIA.
Bei ilikuwa Tshs.180 Milioni.
SASA MWENYEWE ANATAKA THS.160 MILIONI TU.
NDG. JIKOMBOE,
WAHI UIPATIE FAMILIA YAKO ZAWADI YAKUDUMU KATIKA MWAKA HUU MPYA-2025 KWA BEI RAFIKI.
Ina Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,
Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna nyumba ndogo
(YA-WAGENI) yenye vyumba 2.
Vilevile pia kuna Choo cha Wageni cha nje.
Huduma za Umeme na Maji zioo na Parking ina Paving na ina nafasi ya kutosha.
Kiwanja SQM.700.
UMILIKI MKATABA WA MAUZIANO.
Mita 300 kutoka Lami.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.