3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa kigamboni fancty Nyumba imeshuka bei kutoka million 55 hadi ml 45 tu na maongezi yapo kidg nyumba mpya kabisa nyumba nizuli saan nyumba ina ukumbwa wakiwanja sqmt 400 nyumba ina vyumba 3 vyakulala stingiroom jiko pamoja public toilet ina maji yapo umeme upo ina master bedroom stoo sebule jiko