3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA NA BANK, TSHS.45 MILIONI, KIGAMBONI-MALELA/FUNCITY.
Ni ya kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1)
Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM.540.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa mita 250 kutoka Barabara ya Lami.
Jamani Fun City ipo TUANGOMA.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.