3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo kigamboni mjimwema location ungindoni bei milioni 150 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, store, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, fensi ipo yaparking, eneo lake lina ukubwa Square mita 700 na limepimwa lina hati miliki kabisa. Umbali wake kutoka barabaraya lami hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa mita 200 tu kwa kutembea kwa miguu ni kalibu sana sana na barabarani. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.