3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA: KIGAMBONI
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP
DATE LISTED: 12/09/2024
HOUSE LOCATION: KIGAMBONI DEGE
PLOT SIZE: 700 SQM
PRICE: 140 million. (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
-Nyumba hajawahi kuishi mtu.
-Nyumba ipo kigamboni Dege mwisho jirani kabisa na Apartments za NSSF,
-umbali wa kutoka Ferry au darajani ni mwendo wa nusu saa ( dakika 30 tu) Km 18
-Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo viwili ni master bedrooms
-Nyumba ipo fenced
-Nyumba ina Hati miliki ya Wizara
-Siting room kubwa ya kisasa ,Dinning room ya kisasa ,Jiko la kisasa ,Public toilets 2 ya ndani na nje ,Store mbili ya ndani na nje
NOTE: Eneo Zuri sana na ni kubwa linauzwa bei ya kutupa:
Site Visite: 50000
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 068 370 2330 / 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com