3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI UNGINDONI!
Usikose tena kama ulivyokosa ya kwanza – safari hii ni nafasi yako ya pekee!
Nyumba ipo kwenye mtaa tulivu, imejengwa kwenye kiwanja sqm 600, ina:
✅ Vyumba 3 vikubwa (kimoja ni master)
✅ Sebule kubwa ya kisasa
✅ Dining room yenye nafasi
✅ Jiko safi lenye makabati
✅ Document: Mkataba wa mauziano upo tayari
Bei: Milioni 58 tu
Service Charge: 30,000 tu
0746 433 854
Hii ni nyumba ya watu wa bahati – ukikosa hii, umekosa bahati
“Kama ulikosa ya kwanza ilikuwa bahati mbaya, lakini hii ukikosa – umejiondoa mwenyewe kwenye orodha ya waliojaliwa!”