3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA BANK NA MWENYEWE AMERIDHIA, IKO KIGAMBONI TUNDWI CENTER KATA YA PEMBA MNAZI. IKO MITA TAKRIBANI 200 TOKA MAIN ROAD
AREA :SQM 500
PRICE : MIL 14
UMILIKI :MKATABA WA SERIKALI YA MTAA
SIFA:-
-3BEDROOMS, 1MASTER BEDROOM
-KITCHEN
-STORE
-DINNING
-SITTING ROOM
-PUBLIC TOILET
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI
Tupigie
0746 433 854