3 Bedrooms House for sale at Kihonda, Morogoro


NYUMBA INAUZWA IPO KIHONDA AZIMIO MOROGORO
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE KUBWA, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET.
UWANJA NI 20 KWA 30
BEI NI MILUONI AROBAINI NA TANO TU(45,000,000)
SIMU:0752481398