3 Bedrooms House for sale at Kilimanjaro


NYUMBA BADO IPOO!!
NYUMBA INAUZWA BEI POA SASAA!!! MILIONI 35 TUUU!!!
NYUMBA NI NZUUURI SANA INAUZWAA MOSHI!!!
Location; Bomang'ombe wilaya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, jirani kabisa na Dorcas, kilometers 2 kasoro kutoka stend kuu ya Boma
Vyumba 3 vya kulala vikubwa(1 ni master.
Jiko kubwa
Sebule kubwa kabisa
Dining
Choo&bafu public
Stoo
Baraza kubwaa
Frem kubwa ya biashara
Ukuta mzuri na gate
Parking kubwa na eneo la wazi.
Umeme na Maji yapo 24hrs
Nyumba imekamilika kwa %100
Ukubwa wa kiwanja ni 20/20
PRICE NI MILIONI 35 TU!!,
Maelezo zaidi nichek 0717916034 / 0753146004