3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA SUKA 3KM BAJAJI 800 IMESHUKA BEI JUMBA KUBWA LA ππͺπ₯ππ£ππ YENYE ENEO KUBWA SANA... #ππ©ππ£π_πΌπ‘π€π£π
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA SUka
Umbali wa K M 3. Kutoka SUKA.na km 1.5 toka kinyerezi stend.
ππππ πππ π
============
β’ Sebule kubwa
β’ Dining
β’ Vyumba 3VITATU vya Kulala na kimoja wapo Master
β’ Jiko Kubwa sana na stoo ipo
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo na UMEME LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani. PIA KUNA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA UKAFUGA HATA MBUZI NA KUKU.
ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 300 x 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 15,000 tu
CONTACT US:-
0716223412
0683597453