3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAFAA KWA FAMILIA KUBWA #BEI 350K
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DAINING TABLE
#STORE
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU
#PAVING BLOCK
#HITER MAJI MOTO
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA DK 4 UPO GETINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747