3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA UZWA BEI KITONGA SANA M 65 IPO KIMARA MWISHO MILENIA SHULE UKISHUKA. DK 3 UPONDANI.
SIFA YA NYUMBA HII
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTA SEBULE KUBWA SANA JIKO PABLICK TOILETI MAJI YANA FROW ALAFU. KWA NJE KUNA BOY KOTA YA CHUMBA SEBULE NA CHOO CHAKE
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
UKUBWA WA KIWANJA MITA 30 X 22.
SEVCHAGE 25000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347